Yeremia 18:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini wewe, ee Mwenyezi-Mungu,wazijua njama zao zote za kuniua.Usiwasamehe uovu wao,wala kufuta dhambi zao.Waanguke chini mbele yako;uwakabili wakati wa hasira yako.

Yeremia 18

Yeremia 18:19-23