Yeremia 18:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini watu wangu wamenisahau mimi,wanafukizia ubani miungu ya uongo.Wamejikwaa katika njia zao,katika barabara za zamani.Wanapitia vichochoroni badala ya njia kuu.

Yeremia 18

Yeremia 18:10-18