Yeremia 16:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo, nitawatupilia mbali kutoka nchi hii mpaka kwenye nchi ambayo nyinyi wenyewe wala wazee wenu hawakuijua. Huko mtaitumikia miungu mingine usiku na mchana, wala sitawafadhili.

Yeremia 16

Yeremia 16:10-19