Yeremia 15:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Mama aliyesifika kuwa na watoto saba;sasa ghafla hana kitu.Ametoa pumzi yake ya mwisho,jua lake limetua kukiwa bado mchana;ameaibishwa na kufedheheshwa.Na wale waliobaki hai nitawaachawauawe kwa upanga na maadui zao.Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”

Yeremia 15

Yeremia 15:3-14