Yeremia 14:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Utakuwaje kama mtu uliyechanganyikiwa,kama shujaa asiyeweza kusaidia mtu?Lakini wewe ee Mwenyezi-Mungu, u pamoja nasi;sisi twaitwa kwa jina lako, usituache.”

Yeremia 14

Yeremia 14:3-17