Yeremia 10:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Vinyago hivyo hupambwa kwa fedha kutoka Tarshishi,na dhahabu kutoka Ofiri;kazi ya mafundi stadi na wafua dhahabu.Zimevishwa nguo za samawati na zambarau,zilizofumwa na wafumaji stadi.

Yeremia 10

Yeremia 10:1-13