Yeremia 10:25 Biblia Habari Njema (BHN)

Imwage hasira yako juu ya mataifa yasiyokuabudu,na juu ya watu ambao hawakutambui.Maana, wamewaua wazawa wa Yakobo;wamewaua na kuwaangamiza kabisa,na nchi yao wameiacha magofu.

Yeremia 10

Yeremia 10:19-25