Yeremia 10:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini Mungu wa Yakobo si kama vinyago hivyo,maana, yeye ndiye aliyeumba vitu vyote,na Israeli ni taifa lililo mali yake;Mwenyezi-Mungu wa majeshi ndilo jina lake.

Yeremia 10

Yeremia 10:11-22