Anapotoa sauti yake, maji hunguruma mbinguni,huzusha ukungu kutoka mipaka ya dunia.Huufanya umeme umulike wakati wa mvua,na kuutoa upepo katika ghala zake.