Walawi 26:30 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitapaharibu mahali penu pa ibada milimani, nitazibomoa madhabahu zenu za kufukizia ubani, na kuzitupa maiti zenu juu ya sanamu za miungu yenu. Roho yangu itawachukia kabisa.

Walawi 26

Walawi 26:20-32