Walawi 26:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Chakula chenu nitakipunguza hata wanawake kumi watumie jiko moja tu kuoka mikate. Watawagawia kwa kipimo. Na hata baada ya kula bado mtakuwa na njaa tu.

Walawi 26

Walawi 26:18-28