Waamuzi 5:31 Biblia Habari Njema (BHN)

“Ee Mwenyezi-Mungu, waangamie adui zako wote!Lakini rafiki zako na wawe kama jua,wakati linapochomoza kwa mwanga mkubwa!”Nayo nchi ikawa na amani kwa muda wa miaka arubaini.

Waamuzi 5

Waamuzi 5:26-31