Waamuzi 5:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakuu wa Isakari wakafuatana na Debora,watu wa Isakari waaminifu kwa Baraki;wakamfuata mbio mpaka bondeni.Lakini miongoni mwa koo za Reubenikulikuwamo kusitasita kwingi.

Waamuzi 5

Waamuzi 5:11-21