Ufunuo 18:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa saa moja tu utajiri wako umetoweka!”Halafu manahodha wote na wasafiri wao, wanamaji na wote wanaofanya kazi baharini, walisimama kwa mbali,

Ufunuo 18

Ufunuo 18:16-18