Tazama! Anakuja na mawingu!Kila mtu atamwona, na hata wale waliomtoboa.Makabila yote duniani yataomboleza juu yake.Naam! Amina.