Sefania 3:8 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kwa hiyo ningojeni mimi Mwenyezi-Mungu,ngoja siku nitakapoinuka kutoa mashtaka.Nimeamua kuyakusanya mataifa na falme,kuyamwagia ghadhabu yangu,kadhalika na ukali wa hasira yangu.Dunia yote itateketezwakwa moto wa ghadhabu yangu.

Sefania 3

Sefania 3:1-15