Sefania 3:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Hausikilizi onyo lolote,wala haukubali kukosolewa.Haukumtegemea Mwenyezi-Mungu kamwe,wala kumkaribia Mungu wake.

Sefania 3

Sefania 3:1-9