Sefania 3:15 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu amekuondolea hukumu iliyokukabili,amewageuzia mbali adui zako.Mwenyezi-Mungu, mfalme wa Israeli yuko pamoja nawehutaogopa tena maafa.

Sefania 3

Sefania 3:14-20