Sefania 3:13 Biblia Habari Njema (BHN)

Waisraeli watakaobaki,hawatatenda mabaya wala hawatasema uongo;wala kwao hatapatikana mdanganyifu yeyote.Watapata malisho na kulalawala hakuna mtu atakayewatisha.”

Sefania 3

Sefania 3:8-18