Sefania 3:11 Biblia Habari Njema (BHN)

“Siku hiyo, haitakulazimu kuona aibu,kutokana na matendo yako ya kuniasi,maana nitawaondoa miongoni mwakowale wanaojigamba na kujitukuzanawe hutakuwa na kiburi tena katika mlima wangu mtakatifu.

Sefania 3

Sefania 3:7-18