Sefania 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Katika siku ile ya karamu yangu,nitawaadhibu viongozi wa watu hao,kadhalika na wana wa mfalmepamoja na wote wanaoiga desturi za kigeni.

Sefania 1

Sefania 1:1-15