Sefania 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Nitaunyosha mkono wangu dhidi ya nchi ya Yuda,kadhalika na wakazi wote wa mji wa Yerusalemu.Nitaangamiza mabaki yote ya Baali kutoka nchi hii,na hakuna atakayetambua jina lao.

Sefania 1

Sefania 1:1-7