Sefania 1:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa kuwa watu wamemkosea Mwenyezi-Mungu,yeye atawaletea dhiki kubwa,hivyo kwamba watatembea kama vipofu.Damu yao itamwagwa kama vumbi,na miili yao kama mavi.

Sefania 1

Sefania 1:15-18