Sefania 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Wakati huo nitaupekua mji wa Yerusalemu kwa taa,nitawaadhibu wanaoishi wametulia kama machicha ya divai,wote ambao husema mioyoni mwao:‘Mwenyezi-Mungu hatafanya kitu: Chema au kibaya.’

Sefania 1

Sefania 1:2-15