Obadia 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Washirika wenzenu wamewadanganya,wamewafukuza nchini mwenu.Mliopatana nao wamewashinda vitani,rafiki wa kutegemewa ndio waliokutegea mitego,nawe hukuelewa yaliyokuwa yanatendeka.

Obadia 1

Obadia 1:1-13