Obadia 1:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Wale wanaokaa Negebu wataumiliki mlima Esau;wale wanaokaa Shefela wataimiliki nchi ya Wafilisti.Waisraeli watamiliki nchi za Efraimu na Samariana watu wa Benyamini wataimiliki nchi ya Gileadi.

Obadia 1

Obadia 1:14-21