25. wa ukoo wa Gibeoni: 95;
26. Watu wa miji ifuatayo pia walirudi: Wa mji wa Bethlehemu na Netofa: 188;
27. wa mji wa Anathothi: 128;
28. wa mji wa Beth-azmawethi: 42;
29. wa miji ya Kiriath-yearimu, Kefira na Beerothi: 743;
30. wa miji ya Rama na Geba: 621;
31. wa mji wa Mikmashi: 122;
32. wa miji ya Betheli na Ai: 123;