5. Miyamini, Maadia, Bilga,
6. Shemaya, Yoyaribu, Yedaya,
7. Salu, Amoki, Hilkia na Yedaya. Hao walikuwa ni wakuu wa makuhani na ndugu zao wakati wa Yeshua.
8. Walawi: Yeshua, Binui, Kadmieli, Sherebia, Yuda na Matania, ambaye alihusika na usimamizi wa nyimbo za shukrani akishirikiana na ndugu zake.
9. Nao Bakbukia na Uno rafiki zao, walisimama ibadani mkabala nao.