Nehemia 12:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Ifuatayo ni orodha ya makuhani na Walawi waliorudi kutoka uhamishoni pamoja na Zerubabeli, mwana wa Shealtieli, na kuhani mkuu Yeshua.Makuhani: Seraya, Yeremia, Ezra,

2. Amaria, Maluki, Hatushi,

Nehemia 12