Nahumu 3:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Je, wewe Ninewi, ni bora kuliko Thebesi,mji uliojengwa kando ya mto Nili?Thebesi ulizungukwa na maji,bahari ilikuwa boma lake,maji yalikuwa ukuta wake!

Nahumu 3

Nahumu 3:3-15