Mji uko wazi kabisa,watu wamechukuliwa mateka.Wanawake wake wanaomboleza,wanalia kama njiwa,na kujipigapiga vifuani.