Mwanzo 36:41-43 Biblia Habari Njema (BHN)

41. Oholibama, Ela, Pinoni,

42. Kenazi, Temani, Mibsari,

43. Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila yaliyotokana na Edomu, yaani Esau, baba yake Edomu; wametajwa kulingana na makazi yao katika sehemu za nchi walizomiliki.

Mwanzo 36