Mathayo 5:1-4 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Yesu alipoyaona makundi ya watu, alipanda mlimani, akaketi. Wanafunzi wake wakamwendea,

2. naye akaanza kuwafundisha:

3. “Heri walio maskini rohoni,maana ufalme wa mbinguni ni wao.

4. Heri walio na huzuni,maana watafarijiwa.

Mathayo 5