Kutoka 9:33 Biblia Habari Njema (BHN)

Basi, Mose akaondoka nyumbani kwa Farao, akatoka nje ya mji. Kisha akainua mikono yake kumwomba Mwenyezi-Mungu. Ngurumo na mvua ya mawe vikakoma; mvua ikaacha kunyesha duniani.

Kutoka 9

Kutoka 9:30-35