Kutoka 9:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Jambo hilo lilifanyika kote nchini Misri isipokuwa tu sehemu ya Gosheni walimokaa Waisraeli; humo haikuwako mvua ya mawe.

Kutoka 9

Kutoka 9:20-27