Kutoka 8:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Mwambie Aroni anyoshe mkono wake na fimbo yake juu ya mito, juu ya mifereji na madimbwi, nao vyura watatokea na kuenea kila mahali nchini Misri.”

Kutoka 8

Kutoka 8:1-7