Kutoka 37:28-29 Biblia Habari Njema (BHN) Alifanya mipiko miwili ya mjohoro na kuipaka dhahabu. Alitengeneza mafuta matakatifu ya kupaka, na ubani safi