Kutoka 29:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini nyama ya fahali huyo pamoja na ngozi na mavi yake utavichukua na kuviteketeza nje ya kambi yenu. Hii itakuwa sadaka ya kuondoa dhambi.

Kutoka 29

Kutoka 29:4-23