Kutoka 23:19 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mazao ya kwanza ya ardhi yako utayaleta nyumbani kwangu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako.“Usimchemshe mwanakondoo au mwanambuzi katika maziwa ya mama yake.

Kutoka 23

Kutoka 23:18-24