Kumbukumbu La Sheria 6:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Kwa hiyo enyi Waisraeli, muwe waangalifu kuzitekeleza ili mfanikiwe na kuongezeka sana katika nchi hiyo inayotiririka maziwa na asali kama alivyowaahidi.

Kumbukumbu La Sheria 6

Kumbukumbu La Sheria 6:1-11