Kumbukumbu La Sheria 6:10 Biblia Habari Njema (BHN)

“Kama vile Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, alivyowaapia babu zenu, Abrahamu, Isaka na Yakobo, yeye atawapeni nchi yenye miji mikubwa na mizuri iliyostawi ambayo nyinyi hamkuijenga.

Kumbukumbu La Sheria 6

Kumbukumbu La Sheria 6:5-13