Kumbukumbu La Sheria 5:16-18 Biblia Habari Njema (BHN)

16. “ ‘Waheshimu baba yako na mama yako, kama vile mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako nilivyokuamuru; fanya hivyo ili uishi siku nyingi na kufanikiwa katika nchi ambayo ninakupatia.

17. “ ‘Usiue.

18. “ ‘Usizini.

Kumbukumbu La Sheria 5