Kumbukumbu La Sheria 5:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Mose aliwaita pamoja Waisraeli, akawaambia: “Enyi Waisraeli, sikilizeni masharti na maagizo ambayo ninayatamka mbele yenu leo. Jifunzeni hayo na kuyatekeleza kwa uangalifu.

Kumbukumbu La Sheria 5

Kumbukumbu La Sheria 5:1-6