Kumbukumbu La Sheria 4:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Nyinyi mliona kwa macho yenu mambo ambayo Mwenyezi-Mungu aliyafanya kuhusu Baal-peori. Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, aliwaangamiza watu wote miongoni mwenu waliomwabudu huyo mungu Baal-peori.

Kumbukumbu La Sheria 4

Kumbukumbu La Sheria 4:1-4