Kumbukumbu La Sheria 33:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu alikuja kutoka mlima Sinai,alitutokea kutoka mlima Seiri;aliiangaza kutoka mlima Parani.Alitokea kati ya maelfu ya malaika,na moto uwakao katika mkono wake wa kulia.

Kumbukumbu La Sheria 33

Kumbukumbu La Sheria 33:1-7