Kumbukumbu La Sheria 30:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Naziita mbingu na dunia zishuhudie juu yenu leo hii, kwamba nimewapeni uchaguzi kati ya uhai na kifo, kati ya baraka na laana. Basi, chagueni uhai nyinyi na wazawa wenu mpate kuishi,

Kumbukumbu La Sheria 30

Kumbukumbu La Sheria 30:10-20