Kumbukumbu La Sheria 28:65 Biblia Habari Njema (BHN)

Hamtakuwa na raha yoyote mahali penu wenyewe pa kutulia wala miongoni mwa mataifa hayo. Ila Mwenyezi-Mungu atawapeni huko wasiwasi wa moyo, kufifia kwa macho na mahangaiko ya rohoni.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:59-68