Kumbukumbu La Sheria 28:45 Biblia Habari Njema (BHN)

“Hayo yote yatawapateni nyinyi na kuwaandama mpaka muangamizwe kwa kuwa hamkutii sauti ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu kuhusu kushika amri zake na masharti aliyowapa.

Kumbukumbu La Sheria 28

Kumbukumbu La Sheria 28:44-49