Kumbukumbu La Sheria 24:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Kumbukeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu alivyomtendea Miriamu mlipokuwa safarini kutoka Misri.

Kumbukumbu La Sheria 24

Kumbukumbu La Sheria 24:1-18