Kumbukumbu La Sheria 12:20 Biblia Habari Njema (BHN)

“Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atakapoipanua nchi yenu, kama alivyoahidi, nanyi mtasema, ‘Tutakula nyama’, kwa vile mnapenda kula nyama, mnaweza kula nyama kiasi chochote mnachotaka.

Kumbukumbu La Sheria 12

Kumbukumbu La Sheria 12:16-28